USAJILI MKUTANO WA WAFANYABIASHARA NA WATOA HUDUMA
Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya usajili wa Wafanyabiasha na watoa Huduma wanaohitaji kushiriki Mkutano Mkuu wa Kilele (SUMMIT) wa Wafanyabiashara, Watoa Huduma na Viwanda utakao fanyika katika viwanja vvya Sabasaba Kuanzia Tarehe 21-23 Novemba 2024. Katika Mkutano huo kutakuwa utoaji taarifa za Maendeleo ya Biashara na Fursa Sambamba na mijadala mbalimbali. Pia kutakuwa na Kliniki ya Biashara, Maonyesho ya huduma na Biashara pamoja na mazunguzo baina ya wafanyabiashara na wawekezaji
FOREIGN PARTICIPANTS (EAC, SADC, COMESA)
REGIONAL TRADERS AND INDUSTRIALISTS FROM EAC, SADC , ETC
Registration for Traders, Industrialists and Experts from EAC and SADC Regions and other invited Countries.
The participation fee for all international participants is 350,000 TZS.
Fully registration is recommended while payments can be done during registration on 4th Decemeber, 2024
MALIPO YAFANYIKE KUPITIA
Jina la Bank (Bank Name): AMANA
Account Name: JUKWAA LA BIASHARA NA HUDUMA (JBH)
Namba ya Akaunti (A/#): 001302214220001
TRADERS (WAFANYABIASHARA)
USAJIRI WA WAFANYA BIASHARA
Wafanyabiashara wote wanakaribishwa kushiriki mkutano huu wenye fursa tele, unaolenga kuwaonesha fursa, kutatua changamoto, kuchochea mauzo, na kukuza biashara kote nchini kwa ujumla.
Faida za kuhudhuria ni pamoja kuelewa fursa za maendelo ya biashara na uwekezaji zilizopo nchini na katika kanda za EAC, SADC na COMESA, utatuzi wa changamoto za wafanyabiashara, na kupata wateja na machimbo mapya.
Wafanyabiashara wa Kariakoo 200 watakaowahi watapata fursa kutambuliwa rasmi na mtandao wa uthibitishaji biashara, mauzo na kutangaziwa bidhaa/huduma kwa muda wa miezi miwili kuanzia tarehe 5 Nov, 2024 mpaka 5 Jan, 2025.
Gharama za ushiriki wa Mkutano na Maonyesho
250,000 kwa wanachama wa JWK
350,000 kwa wafanyabiashara wengine.
Kushiriki Mkutano bila kuonyesha bidhaa:
150,000 Kwa wafanyabiashara wote.
SERVICE PROVIDERS (WATOA HUDUMA)
USAJIRI WA WATOA HUDUMA ZA BIASHARA
- Kampuni za Watoa Huduma Wote wanaowezesha biashara kuendelea kwa ufanisi katika sekta za fedha na mitaji, bima, usafirishaji, mawasiliano, uhasibu na Ukaguzi na
- Pamoja na kupata fursa za kukutana na viwanda, wafanyabiashara na wawekezaji. Watapata nafasi ya kutangaza Huduma zao kwa miezi miwili kupitia mitandao yote inayoshirikiana na jukwaa na documentary itakayoruka kupitia Crown Media. Pia watepewa office ya kimtandao ili kutangaza huduma kwa wafanyabiashara na viwanda kote nchini EAC, SADC na COMESA.
- Malipo kwa huduma zote ni Milioni Tano (3,000,000) tu.
INDUSTRIES (VIWANDA)
USAJILI WA VIWANDA
Viwanda na Wazalishaji wa Bidhaa Tanzania, EAC, SADC na COMESA wanakaribishwa sana katika Jukwaa hili. Katika kuchochea upatikanaji wa bidhaa zilizozalishwa nchini na katika kanda hizi, Jukwaa linawakaribisha wamiliki wa viwanda kutangaza bishaa zao na kuzisogeza karikaoo (kituo cha mauzo ya bidhaa za ndani kimataifa).
Faida kwa viwanda ni sambamba na documentary itakayoruka katika runinga ya Crown Tv, Kutangaziwa bidhaa katika Mtandao wa utambuzi na uthibitishaji wafanyabiashara, kupewa duka mtandao la kuchochea mauzo mtandaoni, kukutanishwa na wauzaji nje ya nchi, na wachuuzi wa mazoa ya viwanda.
Wamiliki wa viwanda watapata nafasi ya kukutana na wawekezaji, watoa huduma wengine na wataalamu mbalimbali.
Gharama za Maonyesho ni Milioni Tano (5,000,000) tu.
EXPERTS (WATAALAMU)
USAJIRI WA WATAALAMU MBALIMBALI
Usajili wa wataalamu mbalimbali kutoka sekta za biashara, kwenye makampuni, wataalamu waliojiajili hasa washauri wa biashara, wahasibu, wakaguzi na wanasheria, wataalamu kutoka Taasisi zisizo za kiserikali, asasi za Kiraia na za umma wanaohitaji kushiriki katika mkutano huu (isipokuwa katika maonyesho) pia unapewa kipaumbele.
Wataalamu hawa watashiriki kwenye mkutano huu kusikiliza mawasilisho, katika mijadala na kufahamiana na washiriki wengine kadiri itakavyowezekana.
Kwa gharama ya 350,00 tu itakayojumuisha kifungua kinywa na chakula cha mchana.